NYERERE AENZIWE KWA VITENDO, RASILIMALI ZINUFAISHE WATANZANIA.

Na Marco Maduhu (ESKi Tanzania Alumni) Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojariwa utajiri wa Rasilimali Madini, Gesi asilia na Mafuta. Utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wake. Rais wa kwanza wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania – Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliweka Dira ya Rasilimali kuwa madini yanufaishe watanzania kwanza kupitia […]