cso-week-2021-hakirasilimali-mussa-assad
Profesa Assad Azungumzia Umuhimu wa Wataalamu wa Madini, Mafuta na Gesi Ofisi ya CAG

Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya ofisi ya CAG kuwa na wataalamu wabobezi katika sekta ya madini ili kuimarisha ukaguzi katika eneo hilo. Katika mdahalo wa kujadili ripoti ya Shirika la Oxfam ambayo inaangazia nafasi ya wakaguzi wakuu wa Serikali katika ukaguzi wa sekta ya madini […]

cso-week-2021-hakirasilimali-dotto-biteko2
Waziri Biteko Afunguka Faida ya Marekebisho Sheria ya Madini

Waziri wa Madini Dotto Biteko amebainisha kwamba marekebisho ya sheria ya Madini 2010 yaliyofanyika 2017 yameleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya madini nchini kwa kuongeza pato la Taifa na kuvutia wawekezaji. Waziri Biteko amebainisha haya jijini Dodoma kwenye mdahalo ulioandaliwa na HakiRasilimali kujadili namna gani Serikali inavyoweza kuongeza mapato ya Serikali na kuvutia wawekezaji kwenye […]

cso-week-2021-hakirasilimali-reynald-maeda
AZAKI: Tumeshirikishwa Kikamilifu Kuandaa Mpango wa Tatu wa Maendeleo

Asasi za Kiraia zinazofanya shughuli za kimkakati kwenye Sekta mbalimbali nchini Tanzania zimeeleza kuridhishwa na namna ambavyo imeshirikishwa na Serikali wakati wa zoezi la uandaaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III 2020/21 – 2025/26. Reynald Maeda kutoka Asasi ya Umoja wa Mataifa Tanzania (UNA) alithibitisha hili wakati akichangia mdahalo kuhusu FYDP III uliofanyika […]

cso-week-2021-hakirasilimali-jesca-kishoa
Jesca Kishoa: Serikali Ikishirikiana na AZAKI Tutafanikiwa Kutekeleza Malengo ya Dira ya Madini Afrika

Imeelezwa kuwa Serikali ikishirikiana na Asasi za kiraia itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanikisha kutekeleza malengo ya Dira ya madini ya Africa. Hayo yamebainishwa leo, Oktoba 25, 2021 jijini Dodoma na Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye ni Mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jesca Kishoa katika mjadala wa […]

cso-week-2021-hakirasilimali-ammi-julian
Sekta Binafsi: Tutatoa Takwimu Maeneo Yanayohitaji Nguvu Kubwa Wakati wa Utelekelezaji wa Mpango wa Maendeleo

Sekta binafsi nchini Tanzania imesema itatoa takwimu mbalimbali kuainisha maeneo ambayo yanahitaji kuwekewa nguvu zaidi wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III) ikiwa ni sehemu ya ushiriki na mchango wake kwenye utekelezaji wa mpango huo mpya. Haya yameelezwa na Ammi Julian ambaye alikuwa mwakilishi Taasisi ya Sekta Binafsi nchini kwenye mdahalo […]

cso-week-2021-hakirasilimali-aloyce-andrea
Serikali Yakiri Kuzitegemea Azaki Wakati wa Utekelezaji wa Mpango Mpya wa Maendeleo

Serikali ya Tanzania imesema inategemea mchango mkubwa wa Asasi za Kiraia zinazofanya kazi nchini humo katika utekelezaji na ufuatiliaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III) hususani katika kutoa elimu kuhusu mpango huo kwa wananchi kutokana na kutambua uwezo wao wa kuwafikia wananchi wengi kirahisi. Haya yameelezwa na mwakilishi wa Wizara ya Fedha na […]

cso-week-2021-hakirasilimali-revocatus-sono
NaCoNGO: Hivi Ndivyo Ushiriki wa Azaki kwenye Mipango ya Maendeleoa Utafanikiwa

Asasi za Kiraia nchini zimeshauriwa kuwa na mipango mikakati mizuri inayofungamana na mipango ya kitaifa ya maendeleo endelevu ili waweze kushiriki kikamilifu na kuchangia katika kujenga uchumi wa Taifa. Katibu wa Baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali (NaCoNGO) Revocatus Sono ametoa shauri huu siku ya Jumatatu Oktoba 25, 2021 wakati akichangia mdahalo kuhusu […]