info@hakirasilimali.or.tz

  • cso-week-2021-hakirasilimali

    HakiRasilimali representatives with a former CAG Ludovick Uttoh (second left) displaying key topics found in OUR Research & Analysis papers available at HakiRasilimali
    Exhibition Booth, during the 2021 CSO Week exhibition at Jakaya Kikwete Convention Centre in Dodoma.

Useful Links
We are on Instagram
Latest News

Call for Bid to Offer External Audit Services to HakiRasilimali

Tender No. HR/17/12/2021/001 Background Information HakiRasilimali (HR) is a platform of Civil Society Organizations (CSOs) originally incorporated under CAP 212 on February 2017 and now registered under terms and conditions of non-Governmental Organizations Act 2002 with Registration No 00NGO/R2/00074, working on strategic issues around minerals, oil and gas extraction in Tanzania envisaging to become more […]

cso-week-2021-hakirasilimali-exaud-kigahe

Tanzania: Mbio za Uchumi Endelevu Zashika Kasi

Serikali inafanya uhamasishaji wa uwekezaji wa viwanda ili Rasilimali zinazopatikana hapa nchini zitumike katika viwanda hivyo kama sehemu ya juhudi za kufungamanisha shughuli za kiuchumi ili kuwa na maendeeo jumuishi. Hayo yemeelezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe Oktoba 25, 2021 wakati wa mdahalo kuhusu Mpango wa tatu wa maendeleo ya miaka […]

cso-week-2021-hakirasilimali-dotto-biteko2

Waziri Biteko Afunguka Faida ya Marekebisho Sheria ya Madini

Waziri wa Madini Dotto Biteko amebainisha kwamba marekebisho ya sheria ya Madini 2010 yaliyofanyika 2017 yameleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya madini nchini kwa kuongeza pato la Taifa na kuvutia wawekezaji. Waziri Biteko amebainisha haya jijini Dodoma kwenye mdahalo ulioandaliwa na HakiRasilimali kujadili namna gani Serikali inavyoweza kuongeza mapato ya Serikali na kuvutia wawekezaji kwenye […]

cso-week-2021-hakirasilimali-ammi-julian

Sekta Binafsi: Tutatoa Takwimu Maeneo Yanayohitaji Nguvu Kubwa Wakati wa Utelekelezaji wa Mpango wa Maendeleo

Sekta binafsi nchini Tanzania imesema itatoa takwimu mbalimbali kuainisha maeneo ambayo yanahitaji kuwekewa nguvu zaidi wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III) ikiwa ni sehemu ya ushiriki na mchango wake kwenye utekelezaji wa mpango huo mpya. Haya yameelezwa na Ammi Julian ambaye alikuwa mwakilishi Taasisi ya Sekta Binafsi nchini kwenye mdahalo […]