Latest Updates

Stay informed with policy developments, research findings, and calls for applications that strengthen transparency and accountability in Tanzania's extractive sector.

132 articles found
Tangazo la Uchaguzi wa Wawakilishi wa AZAKI Kamati ya Taifa ya TEITA
Jul 11, 2022

Tangazo la Uchaguzi wa Wawakilishi wa AZAKI Kamati ya Taifa ya TEITA

News

Uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya TEITA kwa kipindi cha miaka mitatu 2022 -2025 kulingana na mabadiliko ya kifungu cha 5 cha sheria ya TEITI 2015. NaCoN...

Job Vacancies at HakiRasilimali
Jun 08, 2022

Job Vacancies at HakiRasilimali

News

HakiRasilimali (HR) is a platform of Civil Society Organizations (CSOs) registered under the Non-Government Organizations (NGOs) Act of 2012 (registra...

Call for Bid to Offer External Audit Services to HakiRasilimali
Dec 27, 2021

Call for Bid to Offer External Audit Services to HakiRasilimali

News

Tender No. HR/17/12/2021/001 Background Information HakiRasilimali (HR) is a platform of Civil Society Organizations (CSOs) originally incorporated un...

Profesa Assad Azungumzia Umuhimu wa Wataalamu wa Madini, Mafuta na Gesi Ofisi ya CAG
Oct 28, 2021

Profesa Assad Azungumzia Umuhimu wa Wataalamu wa Madini, Mafuta na Gesi Ofisi ya CAG

News

Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya ofisi ya CAG kuwa na wataalamu wabobezi katika sekta ya ma...

PAC yataja sababu Ripoti ya CAG kutochambuliwa kwa wakati Bungeni
Oct 27, 2021

PAC yataja sababu Ripoti ya CAG kutochambuliwa kwa wakati Bungeni

News

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe, Japhet Hasunga, amebainisha sababu ya Bunge kushindwa kuchambua ripoti...

Mwanazuoni: Tutengeneze Dira ya Taifa ya Madini ili Kunufaika
Oct 26, 2021

Mwanazuoni: Tutengeneze Dira ya Taifa ya Madini ili Kunufaika

News

Ukosefu wa Dira ya Taifa ya Madini nchini Tanzania ni moja ya kikwazo kwa nchi kunufaika na Rasilimali za Madini, Serikali imeelezwa. Mwanazuoni Japh...

Tanzania: Mbio za Uchumi Endelevu Zashika Kasi
Oct 26, 2021

Tanzania: Mbio za Uchumi Endelevu Zashika Kasi

News

Serikali inafanya uhamasishaji wa uwekezaji wa viwanda ili Rasilimali zinazopatikana hapa nchini zitumike katika viwanda hivyo kama sehemu ya juhudi z...

Waziri Biteko Afunguka Faida ya Marekebisho Sheria ya Madini
Oct 26, 2021

Waziri Biteko Afunguka Faida ya Marekebisho Sheria ya Madini

News

Waziri wa Madini Dotto Biteko amebainisha kwamba marekebisho ya sheria ya Madini 2010 yaliyofanyika 2017 yameleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya ma...

AZAKI: Tumeshirikishwa Kikamilifu Kuandaa Mpango wa Tatu wa Maendeleo
Oct 26, 2021

AZAKI: Tumeshirikishwa Kikamilifu Kuandaa Mpango wa Tatu wa Maendeleo

News

Asasi za Kiraia zinazofanya shughuli za kimkakati kwenye Sekta mbalimbali nchini Tanzania zimeeleza kuridhishwa na namna ambavyo imeshirikishwa na Ser...

Jesca Kishoa: Serikali Ikishirikiana na AZAKI Tutafanikiwa Kutekeleza Malengo ya Dira ya Madini Afrika
Oct 25, 2021

Jesca Kishoa: Serikali Ikishirikiana na AZAKI Tutafanikiwa Kutekeleza Malengo ya Dira ya Madini Afrika

News

Imeelezwa kuwa Serikali ikishirikiana na Asasi za kiraia itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanikisha kutekeleza malengo ya Dira ya madini ya Africa. Ha...

Sekta Binafsi: Tutatoa Takwimu Maeneo Yanayohitaji Nguvu Kubwa Wakati wa Utelekelezaji wa Mpango wa Maendeleo
Oct 25, 2021

Sekta Binafsi: Tutatoa Takwimu Maeneo Yanayohitaji Nguvu Kubwa Wakati wa Utelekelezaji wa Mpango wa Maendeleo

News

Sekta binafsi nchini Tanzania imesema itatoa takwimu mbalimbali kuainisha maeneo ambayo yanahitaji kuwekewa nguvu zaidi wakati wa utekelezaji wa Mpang...

Serikali Yakiri Kuzitegemea Azaki Wakati wa Utekelezaji wa Mpango Mpya wa Maendeleo
Oct 25, 2021

Serikali Yakiri Kuzitegemea Azaki Wakati wa Utekelezaji wa Mpango Mpya wa Maendeleo

News

Serikali ya Tanzania imesema inategemea mchango mkubwa wa Asasi za Kiraia zinazofanya kazi nchini humo katika utekelezaji na ufuatiliaji wa Mpango wa...

No articles match your search criteria.