Na HakiRasilimali Wadau wa sekta ya madini nchini wameishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais John Magufuli kwa hatua yake ya kutangaza kwamba itanunua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo ikiwa lengo ni kunusuru biashara zao zilizoathirika kutokana na ugonjwa wa corona (Covid-19). Naibu Waziri wa Wizara ya Madini Stanslaus Nyongo hivi […]
madini
MATARAJIO NA MAPENDEKEZO YA HAKIRASILIMALI-PWYP KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MADINI MWAKA WA FEDHA 2018/19
UTANGULIZI Sekta ya uziduaji (madini, mafuta na gesi asilia) ni kichocheo kwa ukuaji wa uchumi wa nchi. Kwa ukubwa wake, sekta hii inakadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za Kitanzania milioni 4,975,991. Na huchangia asilimia 4.8 ya Pato la Taifa. Kwa sababu hii, sisi HakiRasilimali-PWYP, jukwaa la Asasi za Kiraia linalochambua sera na kufanya uchechemuzi […]
TAMKO RASMI LA HAKIRASILIMALI JUU YA MISWADA YA TASNIA YA MADINI
Ndugu wanahabari, Tarehe 29 Juni 2017 Serikali ya Tanzania iliwasilisha miswada mitatu bungeni inayohusu sekta ya uziduaji kwa “Hati ya Dharura.” Miswada hiyo ni Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017; Sheria ya Mamlaka ya nchi kuhusu Umiliki wa Maliasili wa mwaka 2017; na Sheria […]