PRESS RELEASE

HakiRasilimali Commends the Government for Transparency and Calls for More Openness Dodoma, 28th of May 2019 HakiRasilimali, a Tanzanian civil society platform working on advocacy issues around transparency and accountability in the mining, oil and gas, on May 27, 2019 congratulated the Ministry of Minerals for demonstrating transparency on revenues obtained from the proceeds of […]

KUELEKEA UWAJIBIKAJI ENDELEVU KATIKA USIMAMIZI WA MALIASILI NCHINI TANZANIA

Siku chache zilizopita, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliunda kamati mbili za wataalamu kwa ajili ya kuchunguza taarifa za kuwapo kwa udanganyifu wa kiwango cha madini katika mchanga wa dhahabu (makinikia), ambao umekuwa ukisafirishwa kupelekwa nje ya nchi. Mchanga huo ni ule unaotoka katika migodi ya dhahabu ya Bulyanhulu […]