Recent Tenders
Publish What You Pay Africa Meets for its 6th Conference
Over 100 delegates are expected to participate in this year’s Africa Conference of the Publish What You Pay (PWYP) network from the 11th to the 13th of July 2017 in Livingstone, Zambia. On top of
TAMKO RASMI LA HAKIRASILIMALI JUU YA MISWADA YA TASNIA YA MADINI
Ndugu wanahabari, Tarehe 29 Juni 2017 Serikali ya Tanzania iliwasilisha miswada mitatu bungeni inayohusu sekta ya uziduaji kwa “Hati ya Dharura.” Miswada hiyo ni Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya
MAPENDEKEZO YA WADAU KWENYE MISWAADA MIPYA YA MADINI-2017 YAZINGATIWE
Sisi HakiRasilimali-PWYP, jukwaa la Asasi za Kijamii ambazo zinashughulikia masuala ya madini, mafuta na gesi nchini Tanzania, tumefuatilia kwa umakini miswada mipya ya madini iliyosomwa kwa mara ya kwanza bungeni tarehe 29 Juni 2017. Miswada
KUELEKEA UWAJIBIKAJI ENDELEVU KATIKA USIMAMIZI WA MALIASILI NCHINI TANZANIA
Siku chache zilizopita, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliunda kamati mbili za wataalamu kwa ajili ya kuchunguza taarifa za kuwapo kwa udanganyifu wa kiwango cha madini katika mchanga wa