Ndugu wanahabari, Tarehe 29 Juni 2017 Serikali ya Tanzania iliwasilisha miswada mitatu bungeni inayohusu sekta ya uziduaji kwa “Hati ya Dharura.” Miswada hiyo ni Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017; Sheria ya Mamlaka ya nchi kuhusu Umiliki wa Maliasili wa mwaka 2017; na Sheria […]