Recent Tenders

Mataifa makubwa duniani yanatusukuma sisi (mataifa yanayoendelea) kwenye nishati safi lakini haimaanishi tukimbilie huko bila kujipanga

November 9, 2023|Energy Transitional|

Mwenyekiti wa Bodi ya Hakirasilimali Jimmy Luhende: "Mataifa makubwa duniani yanatusukuma sisi (mataifa yanayoendelea) kwenye nishati safi lakini haimaanishi tukimbilie huko bila kujipanga" Amesema ni muhimu kabla ya kwenda kuhakikisha watu wanajengewa uwezo kupitia njia