Gerald Mturi
“Sheria zetu zinataka kampuni za madini kufungua akaunti za benki hapa ndani (nchini) lakini ukweli ni kwamba benki zetu hazina uwezo wa kuhudumia” Anasema uamzi huo umesababisha changamoto ya upatikanaji wa mitaji kwa kampuni za madini jambo ambalo linazilazimu kuuza hisa zake ili kupata mtaji. “Wanashindwa kupata mikopo ya kulipa watu fidia na kuendeleza shughuli zao, benki zetu hazienda, wakienda nje wanakuta changamoto ya kutopewa mikopo kwakuwa hawana akaunti nao”

Share This Story, Choose Your Platform!

continue reading

Related Posts