Naibu Waziri Wizara ya Madini, Judith Kapiga, amesema Naibu Waziri Wizara ya Madini, Judith Kapiga, amesema sekta ya uziduaji kwa muda mrefu imekuwa ni uti wa mgongo wa ukuaji wa uchumi wa nchi (Tanzania), kwa kutoa rasilimali muhimu na kuchangia asilimia takribani 10.2 ya Pato la taifa. Sekta inachangia pia zaidi ya asilimia 40 ya bidhaa zote zinazoenda nje (ya Tanzania), asilimia 4 ya mapato ya serikali, asilimia 50 ya uwekezaji wa nje wa moja kwa moja (Foreign Direct investments) pamoja na kutengeneza ajira kwa kiasi kikubwa. “Hii ni kwa mujibu wa tafiti ya uchumi ya mwaka 2023,” amesema wakati wa mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uziduaji lililoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la HakiRasilimali, uliifanyika mkoani Dodoma leo Novemba 9,2023.
Mwisho, kwa kutoa rasilimali muhimu na kuchangia asilimia takribani 10.2 ya Pato la taifa. Sekta inachangia pia zaidi ya asilimia 40 ya bidhaa zote zinazoenda nje (ya Tanzania), asilimia 4 ya mapato ya serikali, asilimia 50 ya uwekezaji wa nje wa moja kwa moja (Foreign Direct investments) pamoja na kutengeneza ajira kwa kiasi kikubwa. “Hii ni kwa mujibu wa tafiti ya uchumi ya mwaka 2023,” amesema wakati wa mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uziduaji lililoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la HakiRasilimali, uliifanyika mkoani Dodoma leo Novemba 9,2023.

Share This Story, Choose Your Platform!

continue reading

Related Posts