Wawekezaji wengi sasa wanawekeza zaidi katika madini hayo lakini kwa Afrika sehemu kubwa inasafirishwa kwenda nje ikiwa ghafi badala ya kuongeza thamani” Anasema ili kunufaika zaidi mataifa ya Afrika yenye madini hayo hayana budi kuongeza ushirikiano wa kibiashara ili kunufaika na rasilimali hiyo muhimu. “Huwezi kufanikiwa kushikilia manufaa peke yako kwa kuwa ongezaji thamani wa madini hayo unategemeana, ushirikiano ndo utaleta mafanikio”

Share This Story, Choose Your Platform!

continue reading

Related Posts